Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Martha Mlata (wa pili kulia ) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI (Afya) , Jafar Seif (kulia) alipowasili kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Puma wilayani Ikungi Mkoa wa Singida kuhutubia mkutano wa hadhara na kusikiliza kero za wananchi, Juni 27, 20926.
Waziri Mkuu akiwpungia wananchi alipowasili kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Puma wilayani Ikungi Mkoa wa Singida kuhutubia mkutano wa hadhara na kusikiliza kero za wananchi, Juni 27, 2026 . Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dandego na kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI (Afya), Jafar Seif.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akihutubia Mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Puma wilayani Ikungi Mkoa wa Singida, Juni 27,
Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba alipowahutubia kwenye uwanja wa Shule ya Misngi Puma wilayani Ikungi Mkoa wa Singida , Juni 27 2026.
Wananchi wakifuatilia hotuba ya Waziri Mkuu, Dkt, Mwigulu Nchemba alipohutubia mkutano wa hadahara na kusikiliza kero za mwananchi kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Puma wilayani Ikungi Mkoa wa Singida, Juni 27, 2026.









No comments:
Post a Comment