Kujituma kwa bidii na kutafuta maendeleo ni lengo la kila familia, lakini pale unapoona familia nzima, ndugu, na ukoo mzima unateseka kwa umaskini wa kutupwa na mikosi ya aina moja, inakuwa wazi kuwa tatizo ni kubwa zaidi ya juhudi za kibadamu.
Kwa miaka na miaka, ukoo wetu ulikabiliwa na hali ya kusikitisha sana. Hakuna mtu yeyote kwenye familia yetu aliyewahi kufanikiwa kimaisha iwe ni kusoma na kupata kazi, kuanzisha biashara, au hata kudumu kwenye ndoa.
Kila kijana alipofikisha umri wa kuanza kujitegemea, alikumbana na mikosi mizito, magonjwa ya ajabu, au kufilisika ghafla na kurudi kijijini kuishi kwa unyonge.










No comments:
Post a Comment