𝐕𝐈𝐏𝐈𝐌𝐎 𝐕𝐘𝐎𝐓𝐄 𝐇𝐎𝐒𝐏𝐈𝐓𝐀𝐋𝐈 𝐕𝐈𝐋𝐈𝐎𝐍𝐘𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐒𝐈𝐍𝐀 𝐔𝐆𝐎𝐍𝐉𝐖𝐀 𝐇𝐔𝐊𝐔 𝐍𝐈𝐊𝐈𝐔𝐌𝐈𝐀 𝐕𝐈𝐁𝐀𝐘𝐀, 𝐌𝐏𝐀𝐊𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀𝐑𝐈 𝐇𝐈𝐈 𝐈𝐋𝐈𝐏𝐎𝐍𝐈𝐎𝐊𝐎𝐀 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, August 24, 2026

𝐕𝐈𝐏𝐈𝐌𝐎 𝐕𝐘𝐎𝐓𝐄 𝐇𝐎𝐒𝐏𝐈𝐓𝐀𝐋𝐈 𝐕𝐈𝐋𝐈𝐎𝐍𝐘𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐒𝐈𝐍𝐀 𝐔𝐆𝐎𝐍𝐉𝐖𝐀 𝐇𝐔𝐊𝐔 𝐍𝐈𝐊𝐈𝐔𝐌𝐈𝐀 𝐕𝐈𝐁𝐀𝐘𝐀, 𝐌𝐏𝐀𝐊𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀𝐑𝐈 𝐇𝐈𝐈 𝐈𝐋𝐈𝐏𝐎𝐍𝐈𝐎𝐊𝐎𝐀

Afya njema ndiyo nguzo kuu ya maisha na utafutaji wa kila siku, lakini pale unapoanza kupata maumivu makali mwilini kisha vipimo vya kisasa hospitalini vikakosa majibu, maisha hugeuka kuwa fumbo na mateso yasiyo na mwisho.

Kwa zaidi ya miaka miwili, nilipitia kipindi kigumu mno cha afya yangu.

 Nilianza kuhisi vitu vikitembea mwilini, maumivu makali ya kichwa yasiyosikia dawa, na tumbo kuwaka moto kila usiku. Maumivu haya yalininyima kabisa uwezo wa kufanya kazi, kutoka nje, au hata kupata usingizi wa amani.

​Nilitembelea hospitali kubwa za mkoa na kutumia mamilioni ya fedha kufanya vipimo vya Ultra-sound, X-ray, na MRI. Hata hivyo, kila matokeo yalipotoka, madaktari waliniahidi kuwa vipimo vyote vilionyesha niko salama kabisa na sina ugonjwa wowote unaoonekana.

ENDELEA   KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad