𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐔𝐌𝐄 𝐀𝐋𝐈𝐘𝐄𝐍𝐈𝐏𝐎𝐒𝐀 𝐀𝐋𝐈𝐍𝐈𝐓𝐎𝐑𝐎𝐊𝐀 𝐃𝐀𝐊𝐈𝐊𝐀 𝐙𝐀 𝐌𝐖𝐈𝐒𝐇𝐎 𝐊𝐀𝐁𝐋𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐀𝐑𝐔𝐒𝐈, 𝐌𝐏𝐀𝐊𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀𝐑𝐈 𝐇𝐈𝐈 𝐈𝐋𝐈𝐏𝐎𝐍𝐈𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐋𝐈𝐀 𝐍𝐘𝐎𝐓𝐀 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, August 24, 2026

𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐔𝐌𝐄 𝐀𝐋𝐈𝐘𝐄𝐍𝐈𝐏𝐎𝐒𝐀 𝐀𝐋𝐈𝐍𝐈𝐓𝐎𝐑𝐎𝐊𝐀 𝐃𝐀𝐊𝐈𝐊𝐀 𝐙𝐀 𝐌𝐖𝐈𝐒𝐇𝐎 𝐊𝐀𝐁𝐋𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐀𝐑𝐔𝐒𝐈, 𝐌𝐏𝐀𝐊𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀𝐑𝐈 𝐇𝐈𝐈 𝐈𝐋𝐈𝐏𝐎𝐍𝐈𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐋𝐈𝐀 𝐍𝐘𝐎𝐓𝐀

Kupendwa, kuposwa, na kuvaa shela la harusi ni ndoto ya kila mwanamke anayetamani kujenga familia yenye amani na heshima. Hata hivyo, pale ambapo kila mahusiano unayoingia yanafikia hatua ya uchumba kisha yanavunjika ghafla bila sababu ya msingi, maisha hugeuka kuwa aibu na kicheko mbele ya jamii.

Kwa zaidi ya miaka sita, nilipitia mikosi ya ajabu kwenye sekta ya mapenzi. Wanaume watatu tofauti waliniposa kwa mbwembwe nyingi, tukafanya mikutano ya familia, na kupanga tarehe za harusi. Lakini kila tulipobakiza wiki chache au siku chache kufanya harusi, mwanaume alibadilika ghafla, akaanza kunichukia bila kosa lolote, na hatimaye kutoroka na kukatisha ndoa.

​Nilibaki nikiwa na simanzi nzito, aibu mbele ya wazazi na ndugu zangu, na msongo mkubwa wa mawazo. Kila nilipojitazama kwenye kioo nilijiona mrembo, mwenye elimu na tabia njema, lakini kwenye macho ya wanaume nilionekana kama kiumbe cha kutisha.

ENDELEA   KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad