Afya bora ndiyo msingi mkuu wa kila utafutaji wa riziki, lakini pale mwili unapofungwa na kuteseka kwa magonjwa ya ajabu, maisha yote husimama ghafla. Kwa zaidi ya miaka miwili, nilikabiliwa na mtihani mzito uliotishia kukatisha kabisa ndoto zangu.
Yalianza kama maumivu ya kawaida ya viungo na mgongo, lakini ndani ya muda mfupi, hali ilibadilika na kuwa mbaya zaidi miguu na mikono yangu ilipooza kabisa, na kuacha mwili wangu ukiwa hauna nguvu wala uwezo wa kujitikisa.
Nilitumia fedha zote za akiba na hata kuuza baadhi ya mali zangu ili kupata matibabu kwenye hospitali kubwa na kwa madaktari bingwa.










No comments:
Post a Comment