Msiba wa wazazi ni pigo kubwa linalomuachia kila mtoto simanzi na ukiwa, lakini inapojitokeza hali ambapo ndugu wa damu wanatumia fursa hiyo kukudhulumu na kukupora urithi wako, maumivu yake huwa mazito mno kuvumilika.
Baada ya kuondokewa na wazazi wangu waliotutoka kwa pamoja, nilibaki mimi kama mtoto wa pekee nikiwa na matumaini ya kuendeleza mali zao ikiwemo nyumba ya familia na shamba kubwa la kilimo.










No comments:
Post a Comment