Kusoma kwa bidii, kupata shahada ya chuo kikuu, na kuwa na sifa zote za taaluma ni hatua kubwa ya kujenga maisha, lakini pale unapoingia kwenye usaili wa kazi (interview) zaidi ya mara kumi kisha unafeli kila mara, moyo hukata tamaa kabisa.
Kwa miaka mitatu baada ya kumaliza masomo yangu, nilikuwa nikisaka ajira bila mafanikio. Kila nilipotuma maombi ya kazi, niliingia kwenye orodha ya wasailiwa (shortlist), lakini kila nilipofika kwenye chumba cha usaili, mambo yote yalibadilika na kuwa meusi.










No comments:
Post a Comment