Kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya masomo, kazi, au fursa za kimaisha ni ndoto ya kila kijana anayetaka kubadilisha mfumo wa maisha yake na wa familia yake. Kwa zaidi ya miaka mitatu, nilikabiliwa na kizingiti kizito na cha ajabu sana kila nilipojaribu kukamilisha mchakato wa kusafiri kwenda ng’ambo.
Nilitumia fedha nyingi sana kulipia ada za maombi ya Visa, mawakili wa usafiri, na vipimo vya afya, lakini kila nilipofika hatua ya mwisho ya usahili (interview) au kupokea majibu kutoka ubalozi, nilipokea barua za kukataliwa.










No comments:
Post a Comment