Kuanzisha biashara kwa mtaji wako wote na matumaini makubwa ya kujiendeleza kisha kushuhudia duka au mradi wako ukikosa wateja siku hadi siku ni jaribu zito linaloweza kumvunja mtu moyo na kumuingiza kwenye madeni makubwa.
Kwa zaidi ya miaka miwili, nilipitia nyakati ngumu sana katika biashara yangu ya duka la nguo na vipodozi. Kila asubuhi nilifungua duka mapema na kupanga bidhaa vizuri, lakini siku nzima ilipita bila kupata hata mteja mmoja wa kununua kitu cha mia tano.
Cha kusikitisha zaidi, maduka ya majirani zangu yaliyokuwa yakiuza bidhaa zinazofanana na zangu yalikuwa yakifurika wateja muda wote.










No comments:
Post a Comment