Uzee unapaswa kuwa wakati wa kupumzika na kufurahia matunda ya ujana wako, lakini pale unapokabiliwa na matatizo ya afya yanayokuvua utu na heshima, maisha hugeuka kuwa kero na mateso ya kila siku.
Kwa miaka mingi baada ya kuvuka umri wa miaka sitini, nilianza kukabiliwa na changamoto kubwa ya kibofu na Mfumo wa mkojo.
Nilishindwa kabisa kuzuia mkojo, ambapo kila nilipohisi haja, mkojo ulikuwa ukitoka wenyewe kabla sijafika msalani.
Hali hii ilinilazimu kuanza kutumia nepi za wakubwa, jambo lililoniletea aibu kubwa na kunifanya nijifungie ndani bila kutoka wala kushiriki shughuli za kijamii na familia.










No comments:
Post a Comment