Kushikwa na ugonjwa wa bawasiri au kinyama cha haja kubwa ni jaribu gumu linaloweza kumvua mtu staha na kumfanya aishi kwa maumivu makali kila siku. Kwa zaidi ya miaka mitatu, nilipitia mateso makubwa yaliyotokana na tatizo hili la bawasiri.
Kila nilipokwenda kujisaidia, nilipatwa na maumivu makali sana ya kuchoma na kuvuja damu, huku kinyama kikijitokeza nje na kunifanya nishindwe hata kukaa kwenye kiti kwa amani.
Hali hii iliniletea aibu kubwa sana mbele ya familia na marafiki, nikishindwa kushiriki shughuli za kijamii na kulazimika kutembea kwa shida sana.










No comments:
Post a Comment