Kuishi na mke unayempenda kwa dhati huku ukijua fika kuwa anakusaliti na kutoka nje ya ndoa ni mateso makubwa yanayoweza kumvua mwanamume heshima na amani ya nafsi.
Kwa miezi mingi, nilipitia maumivu makali ya moyo baada ya kugundua kuwa mke wangu alikuwa na mchepuko wa siri aliyekuwa akikutana naye mara kwa mara.
Kila nilipojaribu kumuuliza au kumkanya kwa wema, alikuwa akiruka kimanga, kuniletea kiburi, na hata kunidharau ndani ya nyumba yangu mwenyewe.
Nilibaki nikikosa raha, nikishindwa kufanya kazi zangu za kila siku kwa umakini huku hofu ya kuletewa magonjwa au kuvunjika kwa familia yangu ikinitesa usiku na mchana.










No comments:
Post a Comment