Kuanzisha huduma ya kiroho na kufungua kanisa ni ndoto inayobeba maono makubwa ya kuongoza jamii na kutoa huduma kwa jamii.
Hata hivyo, pale unapotumia miaka mingi ukihubiri kwenye viti vitupu bila waumini kujitokeza, maisha ya utumishi hugeuka kuwa chanzo cha simanzi, aibu, na umaskini mkubwa.
Kwa zaidi ya miaka mitatu tangu nilipofungua kanisa langu, nilipitia nyakati ngumu mno. Kila siku ya ibada nilifika mapema na kuweka vyombo vizuri vya muziki, lakini waumini walikuwa hawazidi watu watano, huku makanisa mengine yaliyo jirani yakifurika na kupasuka na watu.
Nilibaki nikidharaulika mtaani, nikishindwa hata kulipa kodi ya eneo la kanisa na kununua mahitaji ya msingi ya familia yangu.










No comments:
Post a Comment