Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akikabidhi mfano wa Hundi ya Shilingi Milioni Mia Moja kwa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEA) iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni kusaidia vikundi katika Jimbo hilo. Septemba 19, 2026.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea tuzo kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ya kutambua mchango wake katika Ujenzi wa Kituo cha TAYI, Septemba 19, 2026.
PICHA NA MPIGA PICHA WETU











No comments:
Post a Comment