HITMA YA MUME WA RAIS SAMIA HAFIDH AMEIR KUFANYIKA DAR ES SALAAM - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, September 26, 2026

HITMA YA MUME WA RAIS SAMIA HAFIDH AMEIR KUFANYIKA DAR ES SALAAM

Matukio mbalimbali katika Picha  Jumamosi Septemba 26, 2026 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam katika Hitma ya marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan ambaye alifariki dunia Septemba 7 mwaka huu

Tukio hilo linaenda sambamba na dua ambayo katika imani ya dini ya kiislamu ni msingi wa ibada ambayo Mwenyezi Mungu (Allah) anawakumbusha wanadamu kujiombea msamaha wao kwa wao na kuwaombea msamaha ndugu zao walio tangulia mbele za haki na kutoa shukrani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad