MGOGORO WA MIAKA MINGI KATI YANGU NA NDUGU ZANGU ULIPATA SULUHU NA KUREJESHA UMOJA WETU - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, October 14, 2026

MGOGORO WA MIAKA MINGI KATI YANGU NA NDUGU ZANGU ULIPATA SULUHU NA KUREJESHA UMOJA WETU

Jina langu ni Baraka. Hakuna jambo linaloumiza nafsi na kuondoa amani duniani kama kuishi kwa uadui, chuki, na migogoro isiyoisha na ndugu wa damu moja.

Kwa zaidi ya miaka minane, familia yetu ilikuwa imesambaratika kabisa kufuatia mzozo mzito wa kugawa mali na viwanja vya marehemu wazazi wetu. Kila tulipokutana kujadili jambo, mazungumzo yalikuwa yakishia kwa matusi, vitisho, na hata kutaka kupigana.

Tulifikia hatua ya kutotembelelana, kutochangiana kwenye shida au raha, na watoto wetu wakakuwa wakiwa hawafahamiani kabisa licha ya kuwa ndugu wa damu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad