MUME WANGU ALINIKIMBIA NA KUNIACHA NA WATOTO BAADA YA KUSHAWISHIWA NA MWANAMKE MWINGINE, MPAKA VISOMO HIVI VILIPOMRUDISHA NYUMBANI AKITUBU - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, October 1, 2026

MUME WANGU ALINIKIMBIA NA KUNIACHA NA WATOTO BAADA YA KUSHAWISHIWA NA MWANAMKE MWINGINE, MPAKA VISOMO HIVI VILIPOMRUDISHA NYUMBANI AKITUBU

 

Jina langu ni Rose. Kuona mume uliyehangaika naye tangu mkiwa hamna kitu akikukimbia ghafla na kukuacha na watoto wadogo ili kwenda kuishi na mwanamke mwingine ni uchungu mkubwa unaoweza kukutoa machozi kila siku na kukulaza na msongo wa mawazo.

Kwa zaidi ya miezi sita, mume wangu wa ndoa alibadilika kabisa. Alianza kutoa visingizio vya kutolala nyumbani, akawa hana amani na mimi, na hatimaye alipack nguo zake zote na kuondoka kwenda kuishi na mwanamke aliyekuwa akimfanyia hila za kishirikina.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad