Mheshimiwa João Manuel Conçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola akikagua Gwaride Rasmi la Mapokezi lililoandaliwa kwa heshima yake na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 29 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa João Manuel Conçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola akikagua Gwaride Rasmi la Mapokezi lililoandaliwa kwa heshima yake na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 29 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisalimiana na Mhe. João Manuel Conçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 29 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa amesimama na mgeni wake Mhe. João Manuel Conçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola wakati wakipokea heshima ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na Angola katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 29 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na mgeni wake Mhe. João Manuel Conçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola wakati wakiangalia vikundi vya ngoma za asili, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 29 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mhe. João Manuel Conçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola wakati wa Ziara yake ya Kitaifa, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 29 Oktoba, 2026.
Mhe. João Manuel Conçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo rasmi na Ujumbe wa Angola ulioongozwa na Rais wa nchi hiyo, Mhe. João Manuel Conçalves Lourenço, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Oktoba, 2026.
































No comments:
Post a Comment