Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museven kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani, Tanga Tanzania mazungumzo yaliyofanyika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda, leo tarehe 04 Novemba 2026.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museven kabla ya mazungumzo yao kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani, Tanga Tanzania, yaliyofanyika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda, leo tarehe 04 Novemba 2026.












No comments:
Post a Comment