Kupokea barua ya talaka kutoka kwa mume uliyempa maisha yako yote, ukajua mnaenda kuzeeka pamoja, halafu ghafla ukajikuta ukidhalilishwa, ukitakiwa kuondoka nyumbani na kuacha watoto bila sababu za msingi.
Huku ukiangalia ndoa yako ikififia mbele ya macho yako, ni jeraha kubwa linaloweza kumfanya mwanamke apoteze fahamu kwa simanzi na maumivu makali ya moyo. Kwa miaka saba tuliyoishi pamoja kwenye ndoa, tulikuwa mfano mzuri wa kuigwa.










No comments:
Post a Comment