MIAKA KUMI YA KUTUKANWA KWENYE NDOA BILA MTOTO ILIGEUKA KUWA VILIO VYA FURAHA BAADA YA TIBA HII YA KIASILI

Kupitia dharau na kejeli za kila siku kutoka kwa jamii na hata ndugu wa karibu kwa sababu tu ya kukosa mtoto kwenye ndoa. Miaka mingi ni mateso makubwa yanayoweza kumfanya mwanamke alie usiku na mchana huku moyo wake ukiwa umejaa jeraha lisiloponya.
Kwa miaka kumi kamili, nyumba yangu ilikuwa imetawaliwa na ukimya mzito na simanzi. Nilitangatanga kutoka hospitali moja hadi nyingine, nikinywa vidonge vya kila aina, nikifanyiwa vipimo vya gharama kubwa, na hata kuhudhuria maombi ya kila kona, lakini majawabu yalikuwa ni yale yale.























































No comments:
Post a Comment