Kilichotarajiwa kuwa mchana wa furaha kiligeuka kuwa tafrani ya kushangaza mjini Dodoma siku ya Jumatano, Agosti 6, 2025, baada ya mwanadada mmoja kujikuta akipagawa ghafla mbele ya wachumba watatu aliokuwa amewadanganya kwa miezi tofauti, tukio lililozua kioja na sintofahamu kubwa mbele ya watu waliokuwa wakihudhuria hafla ya kipaimara ya mtoto wa jirani.
Watu walianza kumshangaa msichana huyo, aitwaye Doreen, baada ya kuonekana akiwa amevalia mavazi ya kuvutia, akizunguka eneo hilo akionekana mwenye furaha kupita kiasi, kabla ya hali kubadilika ghafla na kuanza kupiga kelele akisema anahisi “mioyo mitatu ikimpasuka kwa wakati mmoja,” jambo lililowafanya watu waanze kumuangalia kwa hofu...SOMA ZAIDI










No comments:
Post a Comment