MGOMBEA WA CHAMA CHA (TLP) AKABIDHIWA FOMU ZA UTEUZI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, August 11, 2025

MGOMBEA WA CHAMA CHA (TLP) AKABIDHIWA FOMU ZA UTEUZI

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Yustas Mbatina Rwamugira .

 Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe.  Amana Suleiman Mzee (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima.  
(Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Yustas Mbatina Rwamugira . 

Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe.  Amana Suleiman Mzee (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. 
(Picha na INEC).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad