KIHONGOSI AANZA KAZI RASMI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, August 26, 2025

KIHONGOSI AANZA KAZI RASMI

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, Kenani Kihongosi.

.................................

Na Dotto Mwaibale, Dar es Salaam

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, Kenani Kihongosi ameanza kazi rasmi na leo leo anatarajia kuongoza kikao kazi cha viongozi wa ngazi ya kata na jumuiya ya chama hicho.

Ajenda kuu ya kikao hicho ni kupanga mikakati ya maandalizi ya uzinduzi wa kampeni za kitaifa zitakazo zinduliwa Agosti 28, 2025 na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan viwanja vya Tanganyika Peackers Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu Katibu  wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga alisema maandalizi yote ya kikao kazi hicho yamekamilika na kitaanza Saa 4:00 asubuhi...SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad