SEGEREA YA ITIKA BONNAH AKICHUKUA FOMU YA UBUNGE - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, August 26, 2025

SEGEREA YA ITIKA BONNAH AKICHUKUA FOMU YA UBUNGE


  Msimamizi wa Uchaguzi   wa INEC katika  majimbo ya Segerea, Kivule, Ukonga na Ilala, Faraja Nakua. akimkabidhi fomu Mgombea Ubunge Jimbo la Segerea Bonnah Kamoli jijini Dar es Salaam Agosti 26, 2025.

...............................

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MAELFU ya wanachama, wapenzi  wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) na wananchi  katika Jimbo la Segerea, wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam,   wamejitokeza kumsindikiza Mgombea Ubunge wa  jimbo hilo  Bonna Kamoli, kuchukua  fomu  ya  uteuzi katika Ofisi za  Tume  Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)  wilayani humo.

Msafara mrefu wa magari, pikipiki na  bajaji wa mgombea huyo  uliopambwa kwa shamrashamra, ngoma, matarumbeta  na nyimbo za  kuisifu  CCM...SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad