KIJANA ALIYEISHI MAISHA YA ULEVI NA MADENI SASA ANAMILIKI MAGARI YA KIFAHARI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, August 14, 2025

KIJANA ALIYEISHI MAISHA YA ULEVI NA MADENI SASA ANAMILIKI MAGARI YA KIFAHARI

Kwa muda mrefu, jina langu lilihusishwa na fedheha, madeni, na ulevi. Nilikuwa yule mtu ambaye kila mtu kijijini alimjua kwa hadithi za aibu mabishano ya barabarani nikiwa mlevi, kushindwa kulipa madeni, na kuuza mali ndogondogo za familia ili kulipia pombe na starehe za muda.

Watu waliniona kama mfano wa kuonya vijana wasifuate maisha mabaya. Nilikuwa nimepoteza heshima yangu, nilitelekeza majukumu yangu, na hata ndugu zangu walichoka kunisaidia.

Siku moja, baada ya kuamka nikiwa kwenye benchi ya duka niliyoangukia usiku wa jana yake, nilitambua maisha yangu yalikuwa yameharibika kabisa. Nilikuwa sina nyumba, sina pesa, na zaidi sina matumaini.SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad