KIKWETE: MSTAARABU, MCHESHI, NA NGUZO YA HEKIMA KATIKA SIASA ZA TANZANIA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, August 30, 2025

KIKWETE: MSTAARABU, MCHESHI, NA NGUZO YA HEKIMA KATIKA SIASA ZA TANZANIA


 Rais mstaafu na Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho Agosti 28, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam.

.................................... 

Na Dotto Mwaibale

Rais mstaafu na Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kujidhihirisha kama kiongozi asiyechoka kushauri, kuelekeza na kukemea pale inapobidi, bila woga, hila wala chuki binafsi.

Ni nadra katika historia ya Tanzania kumpata kiongozi mwenye mvuto wa kipekee na hulka ya kiungwana kama aliyo nayo Kikwete—mtu wa watu, mcheshi, anayejua kuyageuza makali ya maneno kuwa hekima, na mwenye moyo wa kuzungumza ukweli bila kuficha.

Katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za CCM kuelekea Oktoba 29, 2025, uliofanyika Viwanja vya Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam, Kikwete alitoa kauli nzito za kutafakari...SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad