MREMBO ALIVYOVUNJA MINYORORO YA KIROHO ILIYOZUIA KUPATA MUME MUDA MREFU - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, August 30, 2025

MREMBO ALIVYOVUNJA MINYORORO YA KIROHO ILIYOZUIA KUPATA MUME MUDA MREFU

Jesca alikuwa binti mzuri mwenye heshima na tabasamu la kuvutia, mzaliwa wa Mwanza. Tangu akiwa mdogo, ndoto yake kubwa ilikuwa kuanzisha familia yenye furaha – kuwa na mume mwenye mapenzi ya dhati na watoto ambao wangeikamilisha furaha yake.

 Lakini kadri miaka ilivyozidi kusonga, ndoto hiyo ilianza kumponyoka taratibu.

Wakati marafiki zake wa karibu wakiolewa mmoja baada ya mwingine, Jesca alibaki akiwa shahidi wa furaha yao bila yeye mwenyewe kuonja ladha ya ndoa.

 Alipofikisha miaka 27, watu wa karibu na hata familia yake walimwona bado ana nafasi kubwa ya kuolewa. Lakini alipovuka miaka 30, shinikizo likazidi.

 Mama yake mara kwa mara alimwambia: “Jesca mwanangu, mbona muda unazidi kusonga? Hivi unategemea nini tena?”

SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad