ALIYEKIMBIWA KATIKA NDOA TANO KISA UNYONGE SASA ANAFURAHIA MAISHA MAPYA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, September 12, 2025

ALIYEKIMBIWA KATIKA NDOA TANO KISA UNYONGE SASA ANAFURAHIA MAISHA MAPYA

Mwanaume mmoja aliyeitwa Benson, 42, alijulikana sana miongoni mwa familia na marafiki zake kwa sababu ya maisha yake ya ndoa yaliyokuwa yakiporomoka mara kwa mara.

 Alikuwa ni mtu mwenye kazi nzuri, kipato kizuri na heshima katika jamii, lakini jambo lililokuwa likimletea fedheha ni ndoa zake ambazo hazikudumu.

Benson alianza safari yake ya ndoa akiwa na umri wa miaka ishirini na sita.

 Alimuoa mpenzi wake wa kwanza kwa sherehe kubwa iliyoacha gumzo kwa marafiki na ndugu.

 Lakini kabla hata ya kufika mwaka wa pili, ndoa hiyo ilivunjika ghafla.

 Wengi walidhani ni jambo la kawaida, wakisema pengine hawakuelewana. Benson hakukata tamaa; aliamini bado anaweza kujaribu tena.

SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad