DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA UBARUKU, WILAYANI MBARALI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, September 5, 2025

DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA UBARUKU, WILAYANI MBARALI

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Ubaruku, Wilayani Mbarali katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya tarehe 05 Septemba, 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad