Maisha ya mtaani yanaweza kukufanya uonekane kama kiumbe usiye na thamani, hasa unapokuwa na akili lakini kila unachogusa kinaharibika. Naitwa Suleiman, kijana ambaye nilipoteza miaka saba mtaani nikitafuta mpenyo wa kimaisha bila mafanikio.
Nilijitosa kwenye michezo ya kubashiri (betting) nikiamini ndiyo njia pekee ya kuninasua kwenye umaskini, lakini badala yake niliishia kuwa ombaomba. Nilifikia hatua ya kulala kwenye mabenchi ya stendi ya mabasi baada ya kufukuzwa kwenye chumba nilichokuwa nimepanga kwa kukosa kodi ya miezi sita.










No comments:
Post a Comment