MSOMI ALIYEKUWA AKISHINDA AKISHONA VIATU MTAANI APATA ‘SHAVU’ LA UN - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, March 23, 2026

MSOMI ALIYEKUWA AKISHINDA AKISHONA VIATU MTAANI APATA ‘SHAVU’ LA UN

Maisha yanaweza kuwa katili sana, hasa unapoona wadogo zako uliowasomesha wanakupita kimaendeleo wakati wewe umeshikilia karatasi za chuo zinazoliwa na mchwa. Mimi naitwa Mariam, mzaliwa wa Ilemela, jijini Mwanza.

Nilihitimu shahada yangu ya Uhasibu (Accounting) kwa kiwango cha juu, lakini mtaani niligeuka kuwa mtu wa dharau. Nilifikia hatua ya kukaa pembeni ya barabara nikisaidia mama yangu mdogo kushona viatu vya kimasai ili tu nipate mlo wa mchana.

SOMA   ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad