Miaka saba ya ndoa bila mtoto, mpaka babu wa mitishamba
alipoonyesha dawa ya mizizi iliyobadilisha kila kitu.
-------
Jina langu ni Neema. Mimi na mume wangu tunaishi Dodoma na
tumeoana kwa zaidi ya miaka saba. Wakati tulifunga ndoa tulikuwa na ndoto moja
kubwa sana, kuwa na familia yenye watoto.
Kama wanandoa wengi wapya, tulikuwa tunafikiria ndani ya mwaka
mmoja au miwili tutakuwa tayari tumepata mtoto. Lakini maisha hayakuenda kama
tulivyotarajia.
Mwaka wa kwanza ulipita bila dalili yoyote ya ujauzito.
Tulifikiri ni kawaida tu.
Mwaka wa pili ulipita pia.
Ndipo presha ilianza.










No comments:
Post a Comment