Naitwa Evelyne, mwalimu wa sekondari hapa mkoani Morogoro. Kwa
miaka mingi, nimekuwa nikiishi kwa aibu ya ajabu; nimekuwa mtaalam wa kupoteza
wachumba. Mara tatu mfululizo, nimevishwa pete, tukapanga tarehe, tukachagua
hadi kumbi za harusi, lakini zikiwa zimebaki wiki mbili, mwanaume anapotea au
anatoa sababu isiyo na mashiko na kuvunja mahusiano.
Hali
hii ilinifanya nianze kuchekwa na wafanyakazi wenzangu, wakiniita “bibi harusi
wa mazoezi.” Kila nikivaa vazi la harusi kwa ajili ya kupima, mambo yanaharibika.
Nilihisi nina nuksi iliyokithiri.
Nilihangaika sana Tanzania kutafuta tiba, nimeoga maji ya kila rangi na kutoa sadaka kubwa, lakini kila mtaalam alikuwa akimaliza mshahara wangu na kuniacha na maumivu yale yale. Nilianza kuamini kuwa labda nimeandikiwa kuzeeka bila mume.










No comments:
Post a Comment