MWANAMKE ALIYEKATALIWA NA KILA MWANAUME ALIVYOPATA MUME WA NDOTO ZAKE BAADA YA MIAKA 10 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, March 31, 2026

MWANAMKE ALIYEKATALIWA NA KILA MWANAUME ALIVYOPATA MUME WA NDOTO ZAKE BAADA YA MIAKA 10

Jina langu ni Fatma, mkazi wa mkoa wa Pwani, Kibaha.

 Kwa miaka kumi, maisha yangu ya mahusiano yalikuwa ni majanga matupu. Kila mwanaume niliyempenda alikuwa ananiacha na kuoa mwanamke mwingine, wakati mwingine hata rafiki yangu wa karibu.

Nilijiona kama mimi ni daraja tu la wenzangu kuvuka kwenda kwenye furaha yao. Nilifikisha miaka 36 nikiwa nimekata tamaa ya kupendwa tena.

SOMA  ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad