Naitwa Rose, natokea mkoani Mara, mjini Musoma. Katika mtaa wetu, nilikuwa nimeanza kupata sifa mbaya sana kutokana na kashfa ya chumbani. Mume wangu alikuwa amewaambia rafiki zake wa karibu kuwa mimi nina “uchawi wa kike” kwa sababu nikigusa mwili wake nakuwa kama barafu na siko tayari kabisa kwa tendo la ndoa.
Hii ilitokana na mimi kupoteza kabisa hamu ya mapenzi na kuwa mkavu kiasi cha kutisha kutokana na mivurugiko ya homoni baada ya kujifungua.










No comments:
Post a Comment