Kwa muda mrefu, maisha yangu yalikuwa yamejaa huzuni na kukata tamaa. Nilikuwa nimeachwa na mpenzi wangu niliyempenda sana bila sababu ya kueleweka. Hilo liliniumiza sana na kunifanya nipoteze mwelekeo wa maisha. Wakati huo huo, ndoa ya dada yangu ilikuwa ikivunjika, na familia yetu ilikuwa imegawanyika kwa migogoro isiyoisha.
Kama hiyo haitoshi, nilikuwa sina kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja, na kila jaribio la kupata ajira lilishindikana. Biashara ndogo niliyokuwa nimeanzisha ilipata hasara mfululizo. Afya yangu nayo haikuwa nzuri, nilisumbuliwa na magonjwa ya muda mrefu pamoja na ndoto mbaya zilizokuwa zinanifanya niogope kulala.










No comments:
Post a Comment