WALIOKUJA KUNIIBIA WALISHAMBULIWA NA NYUKI USIKU HUO HUO - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, April 5, 2026

WALIOKUJA KUNIIBIA WALISHAMBULIWA NA NYUKI USIKU HUO HUO

Usiku ule ulikuwa wa kutisha lakini pia wa ajabu sana maishani mwangu. Nilikuwa nimeanza kuona dalili za watu kunifuatilia kwa muda, hasa baada ya biashara yangu kuanza kukua na kupata faida kubwa. Nilihisi kuna watu walikuwa na nia mbaya dhidi yangu, lakini sikuwa na ushahidi wa moja kwa moja.

Siku moja majirani walinipa taarifa kuwa kuna kundi la watu waliokuwa wakizunguka nyumba yangu wakichunguza mazingira. Nilianza kuishi kwa hofu, nikihofia kuwa siku yoyote wangevamia na kuniibia kila nilichokuwa nimehangaikia kwa jasho.

Usiku mmoja majira ya saa nane usiku, nilisikia kelele kali nje ya nyumba yangu. Nilipotazama kwa dirishani, niliwaona watu watatu wakijaribu kuvunja mlango wa nyuma. Moyo wangu ulianza kwenda mbio, na nilihisi maisha yangu yapo hatarini.

SOMA   ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad