𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐈𝐊𝐎𝐒𝐈 𝐘𝐀 𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔 𝐊𝐔𝐀𝐍𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐍𝐈𝐅𝐔𝐀𝐓𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐍𝐈𝐋𝐈𝐏𝐎𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐍𝐈𝐊𝐈𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐅𝐀𝐍𝐈𝐊𝐈𝐖𝐀 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, May 20, 2026

𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐈𝐊𝐎𝐒𝐈 𝐘𝐀 𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔 𝐊𝐔𝐀𝐍𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐍𝐈𝐅𝐔𝐀𝐓𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐍𝐈𝐋𝐈𝐏𝐎𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐍𝐈𝐊𝐈𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐅𝐀𝐍𝐈𝐊𝐈𝐖𝐀

Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilianza kujiuliza kama kweli kuna watu walikuwa hawataki nifanikiwe.

 Kila nilipokuwa karibu kufikia jambo kubwa, kitu cha ajabu kilikuwa kinatokea na kila kitu kuharibika ghafla.

 Mwanzoni nilidhani ni bahati mbaya ya kawaida ya maisha, lakini kadri muda ulivyopita, hali ile ilianza kuniumiza sana.

Nilianza kuona pattern ambayo ilinifanya niogope.

 Nilipata kazi nzuri, lakini kabla hata sijaanza vizuri kampuni ilipunguza wafanyakazi na nikapoteza nafasi. Nilipoanza biashara ndogo kwa matumaini mapya, hasara za kushangaza zikaanza kujitokeza mpaka nikajikuta nimekata tamaa.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad