𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐒𝐈𝐌𝐔 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐒𝐇𝐀𝐍𝐆𝐀𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐓𝐎𝐊𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐔𝐌𝐄 𝐀𝐋𝐈𝐘𝐄𝐍𝐈𝐀𝐂𝐇𝐀 𝐌𝐈𝐀𝐊𝐀 𝐌𝐈𝐖𝐈𝐋𝐈 𝐈𝐋𝐈𝐘𝐎𝐏𝐈𝐓𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐎𝐌𝐁𝐀 𝐍𝐈𝐒𝐈𝐌𝐔𝐀𝐂𝐇𝐄 𝐓𝐄𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐈𝐒𝐇𝐀𝐍𝐈 𝐌𝐖𝐀𝐊𝐄 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, May 18, 2026

𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐒𝐈𝐌𝐔 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐒𝐇𝐀𝐍𝐆𝐀𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐓𝐎𝐊𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐔𝐌𝐄 𝐀𝐋𝐈𝐘𝐄𝐍𝐈𝐀𝐂𝐇𝐀 𝐌𝐈𝐀𝐊𝐀 𝐌𝐈𝐖𝐈𝐋𝐈 𝐈𝐋𝐈𝐘𝐎𝐏𝐈𝐓𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐎𝐌𝐁𝐀 𝐍𝐈𝐒𝐈𝐌𝐔𝐀𝐂𝐇𝐄 𝐓𝐄𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐈𝐒𝐇𝐀𝐍𝐈 𝐌𝐖𝐀𝐊𝐄

Sikuwahi kufikiria kwamba siku moja ningesikia tena sauti yake baada ya namna tulivyoachana.

Tulikuwa tumepitia mengi pamoja. Nilimpenda kwa moyo wangu wote na nilikuwa nimejenga ndoto nyingi kuhusu maisha yetu ya baadaye. Nilikuwa naamini ndiye mtu ambaye ningetumia maisha yangu yote naye. Lakini kila kitu kilibadilika ghafla.

Baada ya misunderstandings nyingi na ugomvi wa mara kwa mara, alianza kubadilika. Simu zikapungua, messages zikawa za baridi, na muda mwingi alianza kuwa mbali nami emotionally.

Kilichoniumiza zaidi ni namna alivyoniacha.

Siku moja alinambia wazi kuwa hakutaka kuendelea tena na uhusiano wetu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad