𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐆𝐔𝐍𝐃𝐔𝐀 𝐒𝐈𝐑𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐓𝐔 𝐀𝐋𝐈𝐘𝐄𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐀𝐍𝐀𝐍𝐈𝐇𝐀𝐑𝐈𝐁𝐈𝐀 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐘𝐀 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀𝐅𝐈𝐊𝐈 𝐊𝐔𝐀𝐍𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐍𝐈𝐊𝐖𝐄𝐏𝐀 𝐁𝐈𝐋𝐀 𝐒𝐀𝐁𝐀𝐁𝐔 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, May 18, 2026

𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐆𝐔𝐍𝐃𝐔𝐀 𝐒𝐈𝐑𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐓𝐔 𝐀𝐋𝐈𝐘𝐄𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐀𝐍𝐀𝐍𝐈𝐇𝐀𝐑𝐈𝐁𝐈𝐀 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐘𝐀 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀𝐅𝐈𝐊𝐈 𝐊𝐔𝐀𝐍𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐍𝐈𝐊𝐖𝐄𝐏𝐀 𝐁𝐈𝐋𝐀 𝐒𝐀𝐁𝐀𝐁𝐔

Kwa muda mrefu nilikuwa mtu ambaye nilipendwa na watu wengi. Nilikuwa na marafiki wa karibu, mahusiano mazuri kazini, na hata kwenye familia watu waliniona kama mtu wa amani. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika kwa namna ambayo sikuielewa.

Mwanzoni nilianza kuona marafiki zangu wamekuwa wa tofauti.

Watu ambao zamani walikuwa wananitafuta kila siku wakaanza kuwa mbali. Messages zilipungua, baadhi hawakupokea simu zangu kama zamani, na kila nilipouliza kama kuna shida, walikuwa wakisema kila kitu kiko sawa. Lakini moyoni nilijua kuna kitu hakikuwa sawa. Kilichoniumiza zaidi ni kwamba baadhi ya watu walikuwa wanaanza kunitazama tofauti.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad