𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐃𝐊𝐓. 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐀𝐇𝐈𝐓𝐈𝐌𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐌𝐀𝐅𝐔𝐍𝐙𝐎 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐀𝐅𝐈𝐒𝐀 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐊𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈 𝐖𝐀𝐒𝐀𝐈𝐃𝐈𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐉𝐄𝐒𝐇𝐈 𝐋𝐀 𝐏𝐎𝐋𝐈𝐒𝐈 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, May 28, 2026

𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐃𝐊𝐓. 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐀𝐇𝐈𝐓𝐈𝐌𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐌𝐀𝐅𝐔𝐍𝐙𝐎 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐀𝐅𝐈𝐒𝐀 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐊𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈 𝐖𝐀𝐒𝐀𝐈𝐃𝐈𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐉𝐄𝐒𝐇𝐈 𝐋𝐀 𝐏𝐎𝐋𝐈𝐒𝐈

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi, tarehe 28 Mei, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati wimbo wa Taifa ukiimbwa kwenye uwanja wa Chuo cha Taaluma ya Polisi, Kurasini Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Mei, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride lililoandaliwa na Jeshi la Polisi kabla ya kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi hilo, Kurasini Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Mei, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa vyeti kwa Wahitimu waliofanya vizuri kwenye Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi, kozi namba 1 ya mwaka 2025/2026 katika Chuo cha Taaluma ya Polisi, Kurasini Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Mei, 2026.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi, kozi namba 1 ya mwaka 2025/2026 katika Chuo cha Taaluma ya Polisi, Kurasini Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Mei, 2026.
Wahitimu wa kozi namba 1 ya mwaka 2025/2026 kwa Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania Wakiapa Kiapo cha Utii kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Mei, 2026.
Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Mei, 2026.
Matukio mbalimbali kwenye hafla ya kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi, kozi namba 1 ya mwaka 2025/2026, Kurasini Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Mei, 2026
Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Mei, 2026.
Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Mei, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura katika hafla ya kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi katika uwanja wa Chuo cha Taaluma ya Polisi, Kurasini Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Mei, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad