Kulikuwa na kipindi ambacho nilikuwa karibu kukata tamaa kabisa kuhusu shamba langu. Nilikuwa nimewekeza nguvu nyingi sana kwenye kilimo. Kila siku nilikuwa naamka mapema kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Lakini ghafla nilianza kugundua mazao na vifaa vidogo vidogo vinaanza kupotea kwa njia isiyoeleweka.
Mwanzoni nilidhani ni makosa ya kawaida. Lakini kadri wiki zilivyopita, hasara ilianza kuongezeka. Mara napoteza mahindi yaliyokuwa tayari kuvunwa, mara vifaa vya kazi vinatoweka. Kilichoniumiza zaidi ni kwamba kila nilipojaribu kuuliza watu wa karibu, hakuna aliyekuwa na taarifa yoyote.
KUENDELEA KUSOMA










No comments:
Post a Comment