Safari ya kwenda nje ya nchi ilikuwa ndoto yangu ya muda mrefu. Kwa miaka mingi nilikuwa nikitamani kupata nafasi ya kusafiri kwa ajili ya kazi na maisha bora. Nilikuwa nimejiandaa vizuri, nikahifadhi pesa kidogo kidogo, na kila siku nilikuwa na matumaini kuwa siku moja ndoto yangu ingetimia.
Lakini mambo hayakuwa rahisi kama nilivyofikiria. Mara ya kwanza nilipoapply visa, nilikuwa na confidence kubwa. Nilijaza forms, nikakusanya documents zote nilizoambiwa, na nikasubiri kwa matumaini makubwa.










No comments:
Post a Comment