Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilianza kuamini labda mapenzi ya kweli hayakuwa sehemu ya maisha yangu. Kwa miaka mingi nilikuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti yaliyoniumiza moyo. Mara nilikuwa nampenda mtu kwa dhati lakini mwisho anaondoka bila maelezo.
Mara nyingine nilikuwa najikuta kwenye mahusiano ambayo hayakuwa yanaelekea popote licha ya kujitolea kwangu kwa moyo wote. Kwa kweli nilichoka emotionally.










No comments:
Post a Comment