Siku ambayo gari langu liliibwa ilikuwa moja ya siku ngumu zaidi maishani mwangu. Nilikuwa nimesimama kwa dakika chache tu kununua kitu kidogo. Nilidhani nitarejea haraka, lakini niliporudi pale nilipoiacha gari, haikuwepo.
Mwanzoni nilidhani labda nimehama sehemu nyingine, lakini baada ya kuzunguka eneo lote, niligundua ukweli mchungu gari langu lilikuwa limeibwa. Hofu ilianza kunijaa.
KUENDELEA KUSOMA










No comments:
Post a Comment