𝐌𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐘𝐀𝐋𝐈𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐍𝐈 𝐉𝐀𝐍𝐆𝐖𝐀 𝐋𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐉𝐎𝐓𝐎 𝐊𝐀𝐋𝐈 𝐊𝐖𝐀𝐍𝐆𝐔 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, May 19, 2026

𝐌𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐘𝐀𝐋𝐈𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐍𝐈 𝐉𝐀𝐍𝐆𝐖𝐀 𝐋𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐉𝐎𝐓𝐎 𝐊𝐀𝐋𝐈 𝐊𝐖𝐀𝐍𝐆𝐔

Naitwa, Salma mwanamke mpambanaji niliyefanikiwa kuwa meneja wa benki hapa jijini Mwanza. Licha ya mafanikio yangu na urembo niliojaliwa, maisha yangu ya mapenzi yalikuwa ni jangwa lenye joto kali. Kwa zaidi ya miaka tisa, kila mwanaume aliyekuwa akitokeza na kuonyesha nia ya dhati ya kunioa, alikuwa akidumu kwa miezi michache tu kisha anatokomea bila kuaga.

Tatizo kubwa lilikuwa ni kwamba, wanaume walikuwa wakidai kuwa punde tu wanapofikiria kuleta mahari, wanaanza kuniona nina sura ya hasira na tabia ya ukali....Endelea Kusoma

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad