Kwa miaka mingi biashara yangu ilikuwa inanisaidia sana. Nilikuwa na duka ambalo lilikuwa na wateja wa kutosha kila siku. Haikuwa biashara kubwa sana, lakini ilinipa uwezo wa kulipa kodi, kusaidia familia, na hata kuweka akiba kidogo. Kila kitu kilikuwa kinaenda sawa.
Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika kwa namna ambayo sikuielewa.
Mwanzoni niliona wateja wameanza kupungua kidogo. Nilijipa moyo nikisema labda ni hali ya kawaida ya biashara. Kuna nyakati biashara hupanda na kushuka.
Lakini baada ya muda hali ilianza kuwa ya kushangaza. Kulikuwa na siku nilifungua duka asubuhi hadi jioni bila kuuza kitu cha maana. Wateja waliokuwa......Endelea Kusoma










No comments:
Post a Comment