𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐔 𝐈𝐀𝐍𝐙𝐄 𝐊𝐔𝐎𝐍𝐄𝐊𝐀𝐍𝐀 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐊𝐀𝐀 𝐌𝐈𝐄𝐙𝐈 𝐁𝐈𝐋𝐀 𝐖𝐀𝐓𝐄𝐉𝐀 𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐅𝐔𝐍𝐆𝐀 𝐃𝐔𝐊𝐀 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, May 18, 2026

𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐔 𝐈𝐀𝐍𝐙𝐄 𝐊𝐔𝐎𝐍𝐄𝐊𝐀𝐍𝐀 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐊𝐀𝐀 𝐌𝐈𝐄𝐙𝐈 𝐁𝐈𝐋𝐀 𝐖𝐀𝐓𝐄𝐉𝐀 𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐅𝐔𝐍𝐆𝐀 𝐃𝐔𝐊𝐀

Kufungua biashara ilikuwa ndoto yangu ya muda mrefu. Nilikuwa nimeweka akiba kwa miaka kadhaa ili siku moja niweze kujiajiri na kusaidia familia yangu kwa njia bora zaidi. Nilipofungua duka langu, nilikuwa na matumaini makubwa.


Mwanzoni nilijua mambo yangechukua muda kukaa sawa, hivyo nilikuwa mvumilivu. Lakini baada ya miezi michache, nilianza kuona hali ambayo sikuitegemea kabisa.

Wateja walikuwa wachache sana.

 Kulikuwa na siku nafungua duka asubuhi hadi jioni bila kuuza kitu cha maana. Mara nyingine nilikuwa narudi nyumbani na pesa kidogo sana kiasi hata cha kuongeza stock kilikuwa shida. Kilichoniumiza zaidi ni kuona biashara za jirani zikifanya vizuri huku yangu ikiwa kimya.

Endelea  Kusoma

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad