Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo usiku ulikuwa adui yangu mkubwa. Watu wengi walikuwa wakiniangalia na kudhani niko sawa, lakini ndani yangu nilikuwa napitia kipindi kigumu sana. Kila siku nilikuwa na mawazo mengi ambayo sikuweza kuyazuia.
Mwanzoni nilidhani ni stress za kawaida ambazo zingepita baada ya muda. Lakini hali ilianza kuwa mbaya zaidi. Usiku ulipofika, badala ya kupata usingizi, akili yangu ilikuwa inaanza kufanya kazi zaidi.










No comments:
Post a Comment